Habari wakuu! Naombeni msaada Nina ndugu yangu anataka kwenda kusoma course ya information technology(IT)ngazi ya degree.yeye in muhitimu wa kidato cha 6 mchepuo wa HGL lakini o _level mathematics alipata F je anaweza soma course hiyo kama anaweza je ni chuo gani kizuri kwa course hiyo??