Backlin Member Joined Mar 12, 2017 Posts 16 Reaction score 7 Feb 24, 2018 #1 Natumia Samsung J7 Prime kila nitaka kutuma picha whatsap au IG ina niambia hili neno hap.
Benfamous JF-Expert Member Joined Oct 10, 2016 Posts 484 Reaction score 375 Feb 24, 2018 #2 Ngoja wajeeee Lakin hiyoo ya pili si inakuuliza kama unaweza tumia hiyo app kuaccess picha na vinginevyo so unatakiwa kukubal au kukataa Jarbu kuwa unasoma maelezoo ndo unafanya kitu mkuu.
Ngoja wajeeee Lakin hiyoo ya pili si inakuuliza kama unaweza tumia hiyo app kuaccess picha na vinginevyo so unatakiwa kukubal au kukataa Jarbu kuwa unasoma maelezoo ndo unafanya kitu mkuu.
ashomile JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 2,913 Reaction score 2,967 Feb 24, 2018 #3 Muda mwingine jaribuni kusoma maelezo kabla ya kuomba misaada .mambo mengine marahisi sana acha kuwa omba omba kwa vitu vinavyowezekana ,sidhani wala siamini kama kuna mtu humu ndani hajui kiingereza
Muda mwingine jaribuni kusoma maelezo kabla ya kuomba misaada .mambo mengine marahisi sana acha kuwa omba omba kwa vitu vinavyowezekana ,sidhani wala siamini kama kuna mtu humu ndani hajui kiingereza
ashomile JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 2,913 Reaction score 2,967 Feb 24, 2018 #4 Soma maelezo inayokwambia ukiona umepita kote lkn imeshindikana ndo ulete maelezo ya kina
Backlin Member Joined Mar 12, 2017 Posts 16 Reaction score 7 Feb 24, 2018 Thread starter #5 Benfamous said: Ngoja wajeeee Lakin hiyoo ya pili si inakuuliza kama unaweza tumia hiyo app kuaccess picha na vinginevyo so unatakiwa kukubal au kukataa Jarbu kuwa unasoma maelezoo ndo unafanya kitu mkuu. Click to expand... Asante mkuu
Benfamous said: Ngoja wajeeee Lakin hiyoo ya pili si inakuuliza kama unaweza tumia hiyo app kuaccess picha na vinginevyo so unatakiwa kukubal au kukataa Jarbu kuwa unasoma maelezoo ndo unafanya kitu mkuu. Click to expand... Asante mkuu
S Shafii ommy Member Joined Feb 23, 2018 Posts 5 Reaction score 1 Feb 24, 2018 #6 habari zenu, nilikuwa naomba kmwenye apps ya kutengeneza video loggle eg. AYOtv please naomba
Kang JF-Expert Member Joined Jun 24, 2008 Posts 5,692 Reaction score 2,576 Feb 24, 2018 #7 Toa hiyo App ya kipumbavu inayoandika 75% ram. Inazuia kukubali permissions.
Backlin Member Joined Mar 12, 2017 Posts 16 Reaction score 7 Feb 25, 2018 Thread starter #8 Santeni wakuu nimefanikiwa