MSAADA

long neck

Member
Joined
Aug 29, 2016
Posts
70
Reaction score
25
Hivi bodi ya mikopo ya elimu ya juu itajuaje kuwa mwanafunzi katoka katika maisha magumu au mazuri?nisaidieni
 
Et mikopo watawapa wenye uhitaj sasa inamana walioomba mikopo n watoto wa vigogo au.
Yan mambo mengne yanakera sana.
Serikal ya nchi hii bhana maamuz wanatoa wenyew then wanayaondoa.
Yan imefikia kipind nawakubal Sana wapinzan wa serikal au vikund vya kigaid vya nchi nyengne maana ile n product ya mambo haya haya.
sasa subir ukuta watangaze mkutano uone watu watakavyo jaa
 
Hivi bodi ya mikopo ya elimu ya juu itajuaje kuwa mwanafunzi katoka katika maisha magumu au mazuri?nisaidieni

Umewahi kujaza ile fomu ya kuomba mkopo? Ile sasa ndio ina taarifa nyingi zinazoweza kutupa uelekeo wa hali ya familia yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…