claus2 Member Joined Jun 3, 2016 Posts 8 Reaction score 3 Sep 20, 2016 #1 Jaman mm nilikuwa napiga sana masterbation au kujichua sasa misuli ya uume wangu umelegea sana na ombeni ushahuri kwa yoyote anaejua dawa ili nilejee kama awali
Jaman mm nilikuwa napiga sana masterbation au kujichua sasa misuli ya uume wangu umelegea sana na ombeni ushahuri kwa yoyote anaejua dawa ili nilejee kama awali
O Ototo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2016 Posts 1,260 Reaction score 1,167 Sep 21, 2016 #2 Hebu fafanua umepiga kwa miaka mingapi na yamekukuta yapi, sasa ukielezea juu juu na majibu nayo yanakua ya juu juu
Hebu fafanua umepiga kwa miaka mingapi na yamekukuta yapi, sasa ukielezea juu juu na majibu nayo yanakua ya juu juu
Abuu Said JF-Expert Member Joined Jul 5, 2015 Posts 4,009 Reaction score 4,769 Sep 28, 2016 #4 Nenda kwa waganga wa Miti shamba wanadawa za kupaka na Kunywa note: epuka matapeli