Naomben mnisaidie coz nilimaliza form 4 2015 na nilipatac division 3 ya 24 ikiwa math d, biological c , chemist c English d, geogrph dd, kiswahl c, hist d, civcs c, niende chuo gan ..msaaada tafadhal wakuu
Ukiingia katika page zao,si mara zote utakuta taarifa zimekaa sawa.Kuna wakati taarifa zinakosekana na utakuta kuna baadhi ya Marekebisho wanayafanya ila baadae zinarudi kama kawaida.
Jambo la msingi ni kuwa na subiri,Haya masuala hayahitaji haraka.
Nb:Mimi siyo msemaji ila Nimejaribu tu kufikiri katika mtizamo wa kawaida.