Msaada

Chuo kwa ngazi ipi pengine au ni hawa vijana wahitimu wa darasa la 14?
Make mi umri umeenda sana tangu nihitimu hilo darasa kama sijakosea huu ni mwaka wa 15.
Binti urimwengu kumbuka tu kwamba huyu dada yangu Ndalichako aliyetia sahihi kwenye moja ya cheti changu, sasa kama babaako alikuwa hampendi, koh koh... Karudi tena. Awamu hii kapewa kirungu na hapendi vi.laza!!
 
Kwa ngaz ya chet kwasababu zimetoka post za afya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…