Kwa Muda Mrefu Sasa Nimekuwa Nikijiuliza Maswali Haya Yafuatayo Lakini Hadi Leo Kichwa Changu Kinaniuma Kwa Kutopata Majibu Yake Stahili Na Ya Kiutaalam Hivyo Nikaona Si Vibaya Nikawashirikisha Na Nyie Members Wangu Humu Ambao Naamini Wote Ni Wabobezi Wa Masuala Ya Kimahusiano Na Sanaa Yake Nzima.
- Hivi Ni Kwanini Ukiwa Na Mpenzi Wa Kizungu Na Ukimpa Zawadi Ya UA Zuri Ndiyo Anakuthamini, Kufurahi, Kukushukuru Na Kukupenda Zaidi Kuliko Hata Ukimpa Hela Zako? Halafu Ni Kwanini Hapo Hapo Ukiwa Na Mpenzi Wa Kitandale ( Namaanisha Mswahili au Mwafrika ) Na Ukimpa Zawadi Ya UA Unaweza Ukajikuta Umeamkia ICU Muhimbili Huku Ukiwa Nyang'anyang'a Kwa Kipigo Huku Ukiwa UMESHAYAKOGA Vya Kutosha Maneno Yao Ya SHOMBO Lakini Hapo Hapo UKIMPA tu Zawadi Ya PESA Atakupenda Na Kukutangazia Kila Mahala Kuwa Wewe Ndiyo DANGOTE Wa Moyo Wake Na Utathaminika Pengine Kushinda Hata Maulana Aliyetuumba!
Na
- Hivi Ni Kwanini Mwanamke Wa Kizungu Hata Avae Vibaya Vipi Lazima Sehemu Ya Matiti Yake ATAPASITIRI Vilivyo Kiasi Kwamba Hutoona Maziwa Yake Na Huku Chini Akikuachia Tu Ujionee Video Ya Bure LAKINI Hapo Hapo Mwanamke Wa Kitandale ( Kiswahili / Africa ) Yeye Hana Formula Kwani Hafichi Cha Matiti Yake Wala Sehemu Zake Zingine NYETI Isipokuwa Wewe Unayeangalia Ndiyo Utakuwa Na Jukumu La Kuyaficha Macho Yako Ili Usione Yasiyotakiwa Kuonekana Hadharani.
Je
TATIZO Ni Nini Hapa? Je Kati Ya Hao
Wanawake Wa
Kizungu Na Hawa Wetu Wa
Kiswahili Nani Ndiyo
Wanaendana Na
Maadili Haswa Ya
Sir God?
Naomba Kuwasilisha.