Smartbrain
Senior Member
- Mar 23, 2013
- 184
- 35
Cheki na BIOS mara nyingi pc mpya huwa zinakuwa zimesetiwa zi-boot from internal (HDD), Kwahiyo angalia kama ipo enabled kuboot from CD na iwe ni option # 1
Jaribu kwa kutumia bootable flash
?
.
Sijui kama nipo sahihi sana
ila kwa nnavyo jua PC ikiwa ime setiwa ku boot from HDD yaani hdd ikawa ni First boot divice
.
hiyo windows installation isingeweza ku soma !
Kwa hiyo sizani kama solution iyo itafanya kazi
my opinion
Jaribu ku-Scan.
Hivi vitu havitengenezwi Tanzania mkuu, sisi tunajuwa kuviunganishaunganisha tu. Mimi ilishawahi kunitokea inaanza mpaka installation na mwisho inagoma nikichange hizo settings kama nilivyoshauri hapo juu inaenda mpaka mwisho. Hata hivyo bado hajafanikiwa jaribu kumsaidia afanye nini.
Sijui kama nipo sahihi sana
ila kwa nnavyo jua PC ikiwa ime setiwa ku boot from HDD yaani hdd ikawa ni First boot divice
.
hiyo windows installation isingeweza ku soma !
Kwa hiyo sizani kama solution iyo itafanya kazi
my opinion
Mkuu nimejarbu ku boot from flash still ikifika sehemu hile hile inastuck tena nimejaribu kwa window 7 na 8
Mkuu nimejarbu ku boot from flash still ikifika sehemu hile hile inastuck tena nimejaribu kwa window 7 na 8
Hebu jaribu kutumia windows CD nyingine tofauti na hizo ambazo umeshazitumia. Halafu wewe kama ndiyo mwenye tatizo basi uwe unafuata ushauri wa wadau siyo unaanzisha tatizo jamvini watu tunakushauri halafu wewe mwenyewe unakuwa na hitimisho zako
Mkuu hapa nina cd za window 8 tatu na window 7 mbili .pia nina window 7 kwenye flash lakin zote hizo zinahishia sehemu moja tu afu pc ina stuck. Sijui nitumie njia gan nyingine kusolve hili tatizo
.
Hiyo basi ni noma sana mkuu
.
Sasa inatakiwa ujue kama tatizo ni hiyo HDD au laa
.
Kama una trusted friend one au hata baby mama kama ana PC uazime na uchomoe hiyo HDD yako kisha uiweke kwenye PC ya huyo rafiki yako
fanya installation kwa kutumia hiyo PC nyingine lakini ikawa na HDD yako
.
Ikifika tena kwenye hatua hiyo na ika stuck tena
nadhani utakuwa ume tambua what the hell.
.
Hapo tatzo ni hddmost mkuu km alivyosema jamaa iweke kweny machine nyingne utest uzma wake lkn its likely to be problem machine nyingi ukiformat os ukitaka juweka mpya km hdd ishapungua rpm inagoma os mpya replace with new one
Nmekutana na hili janga mkuu ππ BCD ERROR π’π’π’Hdd nyingi siku hizi ikifanya kaz sana inapungua rpm coz pale kuna motor inayotumia umeme kuzungusha zile platers then inaanza kuwa slow ndo utaona machine inaanza kuwa slow unabadilisha os lkn bado mpk inafikia sehem inasimama kbsa ndo unaona disk haisomi km kuna data za muhim backup mapema anything cn happen anytime