July Fourth
JF-Expert Member
- May 2, 2012
- 2,240
- 795
tatizo halipo katika kujua namna ya kushut down..ni kwamba nikishut down ikazima kabisa... Ikipita muda flani na nikitaka kuitumia..nikifunua tu lid yake..kitu kinajiwasha chenyewe bila mie kubonyeza power buttonHata ukienda kwenye tab ya settings > shut down
inafanya hivyo?
.
Habari..
Nina window 8 kwene pc bt tatizo ni kwamba inajiwasha yenyewe bila mm kubonyeza power on button.. Nikifungua tu LID ya pc..inajiwasha yenyewe..
Msaada tafadhl kwa wenye solution ya hii kitu
tatizo halipo katika kujua namna ya kushut down..ni kwamba nikishut down ikazima kabisa... Ikipita muda flani na nikitaka kuitumia..nikifunua tu lid yake..kitu kinajiwasha chenyewe bila mie kubonyeza power button
tatizo halipo katika kujua namna ya kushut down..ni kwamba nikishut down ikazima kabisa... Ikipita muda flani na nikitaka kuitumia..nikifunua tu lid yake..kitu kinajiwasha chenyewe bila mie kubonyeza power button
.
Unaweza uka hold power button
mana win 8 zikiingia tu
zina ji set uki close the lid ina sleep/ uki click power button ina sleep pia
i hate win 8 from the button of ma heart
i have win 7 my self it's THE second week now sija shutdown and am using SDD
why should you shut down you're PC?
Mkuu, kwenye windows 8 mara nyingi screen hutangulia kuzima halafu hufuata cpu, kosa wanalofanya watu wengi ni kwamba inapozima screen wao huifunga ambapo cpu hu-sleep, unatakiwa kuzima computer yako mpaka ile LED ya ON izime kabisa