Natumia Zantel SIM kwenye unlocked Wi-Fi router.Je upo uwezekano wa ku check bundle balance bila kuitoa SIM kwenye router na kupiga *102*03# ? Zaidi unaweza kutuma sms kwa kutumia router je Zantel wanayo huduma ya bundle balance kupitia sms? Ahsante.