Pole sana ndugu.Habarini JF,
Kwa kipindi kirefu nimekuwa nikiuziwa au nikipata changamoto nzito napunguza maumivu kwa kulia na ilikuwa inanisaidia maana nikishalia automatically nakuwa sawa kama kusamehe nasamehe na mambo yanaisha kabisa.
Sasa toka 2018 ianze siwezi kulia yani sina chozi yani kuna kitu kimeniumiza kupita kiasi hapa najaribu kulia hadi kwa kufosi imeshindikana, hapa nipo kama zezeta sielewi ka nina furaha ama nina huzuni.
Wanasaikolojia nisaidieni.
Ndio maana huwezi kulia sababu umesema limekufanya ukawa kama zezeta, ubongo ukirudi sawa, utapata maumivu ya kukuumiza hadi kufikia kulia.Limeniumiza sana hadi sijui kama nafuraha ama nahuzuni yani nipo kama zezeta
Ndugu kama mimi hapa ni bora uniudhi sana naweza nikalia lakini kujikata au kuchomwa na mambo kama misumari tu wala sijawahipokutoa chozi labda nilipokuwa mdogo. Lakn ukubwan nishakumbana na mabalaa kama kuumia sana na wala sijalia labda kutabasamu.Tafuta panga ujikate kidole kimoja ukiona hujalia basi wewe your a walking dead.
yani nipo kama zezeta
π π π π π πInawezekana ni kweli upo hivyo [emoji115]
Inawezekana kabisa mkuu,usibishe!