VITASA LAZIMA UCHEZE.....KUNA KIPINDI LONG TYM ALIKUWEPO MTEMI WA MANZESE ANAITWA SANTANA(RIP)NLIINGIA KWENYE 18
ZAKE WACHA NICHEZEE VITASA ILA JAMAAA ALINI TIME.....SO VITASA KUCHEZEA INATOKEA
Tafuta mguu wa Kuku SAA ngapi mambo ya kuumizana na kupoteza nguvu zako kupiga Kwa kusogeleana ni mambo ya kizamani.yupo MTU anatoa mafunzo binafsi ya self defense mitaa hio ukimuhitaji nikupe mawasiliano nae

Kama mtu akikuvamia, kusudi lake nini? Si nikukuumiza au kukuua. Hapo unatoa bastola, tena unampa ya warning piga angani. Akileta ubabe, piga za kifuani mbili. Hatakama jamaa ni Bruce Lee, hapo unamnyamazisha. Mambo ya martial arts waachie watoto na watemi.