Tatizo :Simu ya nokia haisomi laini nilipeleka kwa fundi nikaambiwa tatizo housing na motherbord nikanunua bado ikawa haisomi nikapeleka kwa fundi mwngine akanambia shida ni ice sasa nahitaji ushauri kabla sijanunua hiyo ice coz nimeona mafundi ni wababaishaji sana wanafanya vitu kwa kubabaisha!