Habari wakuu.. Mimi nilihitimu Kidato cha NNE 2013 nikapta history B..Kiswahili C English D,,Civics D,,Geography D.Math F Bio F. Katika kozi ya Sheria,,Saikolojia na Diplomasia IPI ambayo ni nzuri nayoweza kusomea? Nisaidien wakuu
KATIKA HIZO KOZI BORA USOME SHERIA TU MAANA HAUKOSI MISHE BUT UKIFIKA LAW SCHOOL, HIZO NYINGINE STRESS LABDA UPATE UTENDAJI WA KIJIJI, FINALLY ANGALIA UNACHOPENDA