Habari!
Simu yangu tecn0 t605 niliweka phone password nikawa natumia poa ila leo kila nikiwasha naingiza hzo pw inaniandkia done nakuonesha kale katiki halaf inaganda hapo haifungui wala nini na haizimi hvyo hvyo nimezma nakuwasha mara kibao imeshindkana, nisaidieni nitatuaje tatizo,
Ahsante