Msaada wako, nahitaji cheti cha kuzaliwa

mwalidebe

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2016
Posts
426
Reaction score
251
Mwanangu amezaliwa Mkoani Morogoro Turiani sehemu inaitwa Sagasa. Alizaliwa 2013 hapo alipozaliwa hakuna zahanati wala hospitali,alizaliwa nyumbani. Kwa sasa mimi niko Dar es salaam,nimekwenda kufuatilia cheti cha kuzaliwa ili mwanangu nimwandikishe darasa la kwanza maana bila kuwa na cheti cha kuzaliwa mtoto hapokelewi. Sasa nimekwenda wanasema wanataka tangazo nawaambia mtoto hana tangazo hawanielewi je nifanyaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kadi ya clinic inatosha mkuu kama anayo pia nenda nida wakupe mwongozo

am better here
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…