Nna kimeo changu cha BBerry 9300 ambacho nakitumia mara kwa mara. Sasa tatizo last Monday niliupgrade system yake from version 5 to 6. Kila wakati inansumbua inasema memory ndogo nifute baadhi ya apps. imekua inaboa na kuna wakati inazima zima bila mpango yaani inaji restart tu. Niliweka memory card ya 8 gb nikadhani itasaidia. wapiiiiiiiiiiiiiii.
wenye uzoefu na hii kitu naombeni msaada nitatue tatizo mazee.