Habarini za kazi wakuu kama kichwa kinavyosema Nina ndugu yangu ambaye mwaka Jana ali apply teaching college akachaguliwa kulingana na hali ya kiuchumi kubana akahairisha kwenda sasa mwaka huu tena anataka aapply kozi tofaut na teaching in primary kwan walimu Wa secondary ndo wana hamia primary akaona ni vyema atafute kozi nyingne ya kusoma tofaut na hiyo sasa wakuu kwa matokeo haya chemistry C biology C geography C English C history D kiswahili D math F na physics F anaweza kusoma kozi gan naombini msaada kwa ndugu yangu