Mcheichei seby
Member
- Jan 8, 2018
- 10
- 6
Hicho hapo brohndio leo nakisikia, kipindi nasoma kitabu cha biology Advance tulikuwa kunatumia BS na vitini vya kina Mbuga. Ukiijua curriculum inataka nini basi hapo umefaulu.
Hapana sio yy, huyo Rwehumbiza, Ticha wa Fezasio nyagwine huyo?
Aaah hila cha six ndy kilikuwa cha kwanza kutoka 2016, na cha five 2017Bila shaka vimetoka juzi juzi, mimi sikuviona na kuvisikia kipindi nasoma
Kilikuta nishafungasha virago kitamboAaah hila cha six ndy kilikuwa cha kwanza kutoka 2016, na cha five 2017
Sawa MwifwaKilikuta nishafungasha virago kitambo