Msaada wa php codes

Unwanted

Member
Joined
Jan 10, 2014
Posts
58
Reaction score
21
Nahitaji kuapload picha yenye ukubwa wa zaidi ya 4MB kwenye server lakini hizi code zinaupload chini ya 512kb msaada tafadhali kwa mwenye uelewa wa php.
<?php
$sqlw = mysql_query("select status from message where status='0'");
$num = mysql_num_rows($sqlw);
//error_reporting(0);
if(isset($_POST['btnsubmit'])){
$allowedExts = array("jpg", "jpeg", "gif", "png");
$new_file = uniqid().$_FILES["file"]["name"];
$extension = end(explode(".", $new_file));
if ((($_FILES["file"]["type"] == "image/gif")
|| ($_FILES["file"]["type"] == "image/jpeg")
|| ($_FILES["file"]["type"] == "image/jpg")
|| ($_FILES["file"]["type"] == "image/png")
|| ($_FILES["file"]["type"] == "image/pjpeg"))
&& ($_FILES["file"]["size"] < (1024000))
&& in_array($extension, $allowedExts)
)
{
if ($_FILES["file"]["error"] > 0)
{
$errinfo = "<div class='error_box'>Return Code: " . $_FILES["file"]["error"] . "</div>";
}
elseif (file_exists("category/" . $new_file))
{
$errinfo = "<div class='error_box'>". $new_file . " already exists.</div> ";
}
else
{
$name=mysql_escape_string(strip_tags($_POST['name']));
$quantity=mysql_escape_string(strip_tags($_POST['quantity']));


$file="category/" .$new_file;
// checking empty fields
if(empty($quantity) || empty($name) || !is_numeric($quantity))
{
if(empty($name))
{
$errinfo = "<div class='error_box'>Iterm Name field is empty.</div>";
}
if(empty($quantity))
{
$errinfo = "<div class='error_box'>Quantity field is empty.</div>";
}
//if quantity is numeric
if(!is_numeric($quantity))
{
$errinfo = "<div class='error_box'>Quantity entered was not numeric.</div>";
}
}else{
$sel = mysql_query("INSERT INTO categories (categories, status, quantity, removed, location) VALUES('$name','0','$quantity','0','$file')");
$sel1 = move_uploaded_file($_FILES["file"]["tmp_name"],"category/" . $new_file);


if(($sel && $sel1)==true){
header("location:home.php");
}else{
$errinfo = "<div class='error_box'>Iterm failed, Please try again!.</div>";
}
}
}
}
else
{
$errinfo = "<div class='error_box'>Invalid File</div>";
}
}


?>

Natanguliza shukrani kwenu wadau.
 
Angalia line 14 katika code

BTW picha ya MB 4 ni kubwa sana kwa nini usi-compress na kubakiza KB chache bila kupoteza quality ya image na kusave space kwenye server
 
Hapo nimecheza napo sana ila bado inazingua, labda nijaribu hiyo ya ku compress niangalie itakuwaje
 
Kwanza naona unacheki file size hapo < 1024... sijui ni ngapi hiyo exactly.

Pili inabidi ubadili settings za php kwenye server php.ini ina settings za maximum file size inayoruhusu kuupload. Cheki hii How to Upload Large Files in PHP

Kulimit file size anazoweza kuupload user sio idea nzuri maana wengi watashindwa kupunguza size, njia nzuri ni kuruhusu uploads kubwa kisha kuziconvert on the server kuwa size ndogo zaidi. Then original files utaamua ufanye nazo nini utaamua mwenyewe.
 

Ni website ambayo nilishaihost, maana ikiwa kwenye localhost server ya pc max 2MB na 1024... ni sawa na 1MB
 
Ni website ambayo nilishaihost, maana ikiwa kwenye localhost server ya pc max 2MB na 1024... ni sawa na 1MB

Sijui unamaanisha nini kwa "umeshaihost" inabidi uende kwenye php.ini ya hiyo server inayohost application na kuadjust setting iruhusu mafaili makubwa kuwa uploaded. Kama uko kwenye shared hosting ambayo haikuruhusu kuedit php.ini inabidi uangalie huyo host atakusaidia vipi katika hilo.
 

Hivyo ndo nilikuwa ninamaanisha, Nimekuelewa
 
edit your php.ini file settings

Advice: 4MB is too large like Nyasiro said, it will make your site very slow and on slower networks the image may not even load properly.

by the way that code you posted shows why most programmers (who have tried other languages) hate PHP. The code is just plain ugly! views and logic are all mixed up in one place, that's bad practice
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…