N nsumbo Member Joined Oct 14, 2017 Posts 9 Reaction score 3 Nov 8, 2017 #1 Mimi ni mwanachuo mwaka wa kwanza course ya afya,, naomba msaada wa PC nzuri kwa ajiri ya kujisomea na unafuu wa bei na pia upatikanaji wake napatikana Kinondoni Dar karibuni na asanteni
Mimi ni mwanachuo mwaka wa kwanza course ya afya,, naomba msaada wa PC nzuri kwa ajiri ya kujisomea na unafuu wa bei na pia upatikanaji wake napatikana Kinondoni Dar karibuni na asanteni
Siafu na Manga JF-Expert Member Joined Aug 5, 2013 Posts 2,894 Reaction score 8,975 Nov 8, 2017 #2 una sh. ngap??