Hello wananzengo
Nataka kuanza biashara ya viatu
Sasa naomba ushaur, kati ya viatu vya kike vya mtumba au spesho, au vya kiume mtumba.
Mtaji wangu n 150,000/=
Kwa wajuvi na wazoefu wa hizi biashara kwa wakati huu naombeni ushaur wenu tafafhali.
Thanks in advance.