Msaada wa kuunganisha internet katika iPhone 4

juan david

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2013
Posts
3,976
Reaction score
5,466
Habari za humu ndani wa jf nilikuwa naomba mnisaidie jins ya kuunganisha internet katika sim yangu ya iPhone 4 natumia laini ya vodacom :thumbup::
 
Habari za humu ndani wa jf nilikuwa naomba mnisaidie jins ya kuunganisha internet katika sim yangu ya iPhone 4 natumia laini ya vodacom :thumbup::
nenda kwenye settings --> General --> Network then 'Turn ON Cellular and 3G', then endelea kwenda --> Cellular Data --> Cellular Data APN andika 'internet' alafu restart simu ili changes zitake place immediately..baada ya hapo ni bundle yako tu, upo vizuri kwa internet,,ila 3G huwa inaDrain Battery kiasi fulani so unaweza kuizima pindi usipoihitaji,,

 

nashukuru kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…