Pole sana ndugu yangu.
Mkuu kitalamu zipo sababu nyingi sana zinazopelekea tatizo hili zikiwemo hizo ulizotaja. Lakini cha msingi hapa ilikuwa umpeleke kwanza akamwone daktari,atibiwe kwanza,ndio baadaye uje kuuliza sababu za tatizo hili. Huwezi kusema siku 10 kwa mtu anayebleed ni chache,hii siyo sawa. Lakini pia hata ukiingia google,
kwa mfano, kuna majawabu mengi sana kwa hili sali lako. Utasoma mpaka utachoka.
Anyway,mpe pole sana sister.