yohana wililo Member Joined Aug 25, 2016 Posts 7 Reaction score 4 Aug 27, 2016 #1 Habari wanajamvi, Samahan kwa anaejua faida na hasara za kuroot simu bila computer anijuze. Simu yangu ni it1505 lollipop.
Habari wanajamvi, Samahan kwa anaejua faida na hasara za kuroot simu bila computer anijuze. Simu yangu ni it1505 lollipop.
anonymousafrica JF-Expert Member Joined Aug 24, 2016 Posts 611 Reaction score 641 Aug 27, 2016 #2 application zote zilizo nje ya playstore kwa 99% huwa na virus hivyo usishangae simu yako baada ya muda ikahitaj kuflash hahaa ila faida ya kuroot ni kucontrol kila kitu ktk simu yako kama kuweka font xposed apk na vtu kibaaaaaao mpaka bootanimation
application zote zilizo nje ya playstore kwa 99% huwa na virus hivyo usishangae simu yako baada ya muda ikahitaj kuflash hahaa ila faida ya kuroot ni kucontrol kila kitu ktk simu yako kama kuweka font xposed apk na vtu kibaaaaaao mpaka bootanimation
nchimbie Senior Member Joined Apr 19, 2015 Posts 174 Reaction score 63 Aug 28, 2016 #3 Usiroot kama cm ya itel itakusumbua mbelen