Nimepata iPad aina ya apple kutoka kwa MTU,kuna program nyingi muhimu nikizidownload inaniomba ni update ios7,he nitaipataje hii window?naomba mnisaidie.
ku update ni lazima uwe kwenye wi fi network,then unaenda settings>general>software update.ina ukubwa kama 1.2gb so intakiwe uwe na kifurushi cha kutosha,remind you;lazima uwe kwenye wi fi