G GodwinOuko New Member Joined Apr 1, 2025 Posts 1 Reaction score 0 Apr 9, 2025 #1 Habari wadau, Naomba kuuliza kwa aliefanikiwa kufungua akaunti Exim bank kupitia simu anisaidie. Maana mimi nimedownload app yao lakini kufungua akaunti imekuwa kimbembe.
Habari wadau, Naomba kuuliza kwa aliefanikiwa kufungua akaunti Exim bank kupitia simu anisaidie. Maana mimi nimedownload app yao lakini kufungua akaunti imekuwa kimbembe.
Dr hyperkid JF-Expert Member Joined Jun 7, 2019 Posts 13,976 Reaction score 27,546 Apr 9, 2025 #2 fika tawini physically usipende sana vitu ya kupangusa kwenye simu hasa kwenye suala la pesa ndugu
C COPPER JF-Expert Member Joined Dec 28, 2012 Posts 2,932 Reaction score 2,034 Apr 10, 2025 #3 Dr hyperkid said: fika tawini physically usipende sana vitu ya kupangusa kwenye simu hasa kwenye suala la pesa ndugu Click to expand... Ushauri makini kabisa'
Dr hyperkid said: fika tawini physically usipende sana vitu ya kupangusa kwenye simu hasa kwenye suala la pesa ndugu Click to expand... Ushauri makini kabisa'