Msaada wa kudownload Hii Video

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
5,757
Reaction score
2,388
wakuu nimesubscribe Lectures za Online lkn inataka niwe na stream tu yaani IDM haidetect hii video
sasa nitumie downloader gani kuipakua...

N:B:Hii video ilikuisikiliza lazima uwe Logined in https://members.drnajeeblectures.com/videos/354

username:njunwawamavoko@gmail.com
passwd:njunwawamavoko@gmail.com

Naomebeni msaada wenu kitu inanitesa nikisha sahau desa lazima nianze stream upya

 
mi huwa naona IDM ina interact kwenye sites mbalimbali, je huwa unatumia hyo IDM uliyonayo kudownload videos kutoka vyanzo vingine? kama hapo imegoma, ngoja waje wataalamu zaidi.
 
Hii ndiyo ile player wanayotumia pia ITV kwenye web yao, inaboa sana, hapa umeiweka kama image, unaweza kuweka link tuone namna gani tunaweza kuishusha?
 
mbona hujatuwezesha kuifikia hiyo video? tutawezaje kukusaidia kwa picha tu hiyo uliyoweka?
 
Hii ndiyo ile player wanayotumia pia ITV kwenye web yao, inaboa sana, hapa umeiweka kama image, unaweza kuweka link tuone namna gani tunaweza kuishusha?

Mkuu toa hiyo link ya ITV basi maana mm hii Video mpaka Ulogin kwenye acc yako ndo unaweza kuiona ndo maana sijatoa link lkn kwa kuona Player tu mtu atajua ni tool gani ya kuishushia
 
Mkuu toa hiyo link ya ITV basi maana mm hii Video mpaka Ulogin kwenye acc yako ndo unaweza kuiona ndo maana sijatoa link lkn kwa kuona Player tu mtu atajua ni tool gani ya kuishushia

Nenda tu hapo>>itv &raquo home hii ya itv ni JW Player, sasa sijuwi huko kwako ni ipi, maana nimeshindwa kulogin na hzi details ulizoandika.

Update: nimeingia, subiri kidogo

hii ni vz player, wait...
 
njunwa wamavoko Unaweza kuzitoa kwanza hizo login details hapa nadhani hata Paje atakuwa ameshaziweka sehemu salama wakati tukiendelea kutafuta ufumbuzi, lakini zitashuka tu
 
Last edited by a moderator:


YouTube link ya hizo notes.
<strong><em><span style="font-family:comic sans ms;"><font size="4"><span style="color:#ff8c00;">[video=youtube_share;mkWvzXjnPM4]http://youtu.be/mkWvzXjnPM4[/video]
 
Part two.
<strong><em><font size="4"><span style="color:#ff8c00;"><span style="font-family:comic sans ms;">[video=youtube_share;6KcoZvfOAnQ]http://youtu.be/6KcoZvfOAnQ[/video]
 
YouTube link ya hizo notes.
<strong><em><span style="font-family:comic sans ms;"><font size="4"><span style="color:#ff8c00;">[video=youtube_share;mkWvzXjnPM4]http://youtu.be/mkWvzXjnPM4[/video]

Thanks GoodGuy lkn mm intetion yangu sio Video mbili ni video zote unazo ziona kwenye hiyo site nazitaka in my PC ili niweze kushare na my colleagues
Hizo unazoziona Youtube huyo mtu kazi pirate hivo zitakuwa removed any time sababu ni video za kulipia
Lkn nashukuru umenisaidia maana nimeona Video series tatu ambazo ni immediate mpaka sasa hivo ntazipakua kwanza hizi lkn nikifikia stage nyingine ntaitaji zaidi na hazitokuwepo youtube hivo msaada wa kudownload hii utanisaidia
 
njunwa wamavoko, tatizo nipo bize sana, hapo kuna vitu 2 utahitaji either add-on/extension ya browser yako na kama ni firefox itakuwa rahisi zaidi au software ya kukaa kwa machine kabisa au online link converter.

Isipokuwa unaweza kuendelea kupakuwa baadhi ya hizi toka torrent na site zingine na pia youtube zinapatikana baadhi jaribu kupekuwa kutokea google.
 

Daaah!
Kumbe kitu iko torrent I see I never thought of it
sijui wamei-upload lini maana nimeinunua package ya 2yrs at 99$ early October
Anyways Nashukuru sana naimani hapa ntaweza kuzipakua japo sijui contents ndani kuna nn?
 

nimejaribu hiyo username au passwd haziingii. kama vipi jaribu kutumia DAP. au kama unatumia firefox 24 or above, tafuta IDM Addon
 
nimejaribu hiyo username au passwd haziingii. kama vipi jaribu kutumia DAP. au kama unatumia firefox 24 or above, tafuta IDM Addon

IDM haipigi hapo maana haidetect hiyo video
Username na passwd hazina space na ni email na dot.com ikiwepo labda utakuwa unakosea
 
njunwa wamavoko
VERY SIMPLE


step 1
right click kwenye video kisha chagua kama nilivoonesha kwenye picha






Step 2
idm au Download manager inginr itaanza kudetect...
mfano hapa natumia maxthon built in downloader



​

hapa natumia IDM

 
Last edited by a moderator:
Big UP C6 duuuh! kumbe inapakuliwa kiulaini hivi
kweli usilo lijua ni usiku wa giza
RESPECT KAKA
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…