Nyikanavome
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 487
- 181
je hiyo flash umeiweka bootable kikamilifu yaani hakuna error yoyote na je hiyo notbook yako ina minimum requirements za win 8.1? naje ukipress f10 au 12 inagoma kubook from flash..
Kuna kilaptop changu kidogo cha samsung nataka kukiwekea window 8.1 lakini nimejaribu kuboot kupitia usb flash disk hakikubali. Nikijaribu install direct inaniambia we could not update the system reserved partition
Nimeribu kuseti booting priority nimeshindwa kwani menu inayokuja baada ya ubonyeza F2 wakati inawaka nimeshindwa kuiset ikubali.
Naombeni kwa anayejua namna ya kianya iboot kupitia usb anafifamishe
Natanguliza shukrani