Msaada wa ku unlock iPad.....

kbosho

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2012
Posts
13,073
Reaction score
6,642
Hello wana Jukwaa.

nina iPad
" designed by Apple in California Assembled in China Model A1396 Rated 5.IV 2.1A max. EMC 2416 complies with the cadanian ICES-003

Class B specifications. FCC ID: BCGA 1396 and IC: 579C- A1396
IMEI 012668003278256 Serial DLXFQ80ZDKNY.

naombeni ushairi jinsi ya ku Unlock au wapi nipeke niweze kupata huduma.
 
yani mi nina iphone simu nineshindwa kuitoa adi leo ebu subir watakao kuja wakuambia ila ni kopo
 
na hyo email huna? mana namm ninayo hvohvo nlijarib kutoa lock but ikawa ishu japo kuna watu wanatoa ila gharama zake ss ni shida
 
nitaingalia ipo kene mode gan afu ntakwambia 0783757204
 
yani mi nina iphone simu nineshindwa kuitoa adi leo ebu subir watakao kuja wakuambia ila ni kopo

Mkuu hii ni ya zamani kidogo, nadhani werevu wa hii teknologia wanaweza nisaidia hata kwa ushauri.
 
nitaingalia ipo kene mode gan afu ntakwambia 0783757204

sawa mkuu. hata ukiwacha uwezi fanya chochote zaidi ya kubadili lugha, then ndio unatakiwa kuingiza passwd, ambayo ni email.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…