zime bonyeza volume up na power ikiwaka ikatokea logo ya tecno achilia power huku ukiendelea ku shikilia voule up. ikiwa kwenye recovery menu shuka hadi wipe data kwa kutumia volume keys na una bonyeza power kuchagua operation
bonyeza batan ya kuongezea sauti nakuzima simu kwa pamoja(simu ikiwa iko off) itakuja option ya ku fanya restoration then clik yes
itafuta kila kitu kilichopo kwenye simu na itakua kama ilivyokua mpya