Ina sehemu ndogo imeandikwa reset, nimeshajaribu ila haijasaidia
Hapo kwenye reset, ingiza kitu kama pini kwa sekunde kama 10 hivi wakati tablet imezimwa, ikikataa fanya tena tablet ikiwa imewashwa
Poa poa, ila niliweka patern na kuna mtu alkuwa anachezea imejiblock inahitaji google acc, najaribu kuingia inakataa wakat nikiingiza google acc kwny device tofauti inakubali
Bundles zipo, ila sipo karibu na wi fi