Tobechukwu
Senior Member
- Oct 15, 2018
- 112
- 417
Asante dear nitamtafuta, nashukuru.Pole sana mamy mtafute huyu mama wa kihaya 0768890586 mueleze kila kitu unavyojisikia ana dawa za magonjwa ya kina mama nzuri sana
Mtafute kipenzi hutojutiaAsante dear nitamtafuta, nashukuru.
Alisema hamna cyst ovaries ziko poa, mi pia nilijua itakua hiyo imeruid maana ilinisumbua 2019 ila iliisha.Ovarian Cysts
Walikupatia matibabu 2019?Alisema hamna cyst ovaries ziko poa, mi pia nilijua itakua hiyo imeruid maana ilinisumbua 2019 ila iliisha.
Ndiyo nilipatiwa na baada ya kumaliza dozi nilirudi tena kupia nika ambiwa imeisha nikawa sawa.Walikupatia matibabu 2019?
Ushauri onana na Gynaecologist pia rudia kipimo sehemu tofauti na uliofanya awali....
Uponyaji mwema kwako mkuu
Habari za leo wakuu, natumai mmeamshwa salama.
Nimekuja kwenu naombeni msaada wa kitabibu, nasumbuliwa na tumbo la chini la uzazi linaniuma sana mwezi wa pili sasa hasa upande wa kulia mpaka kiunoni kwa nyuma. Nilienda hospitali nikapimwa mkojo wakasema mkojo hauna infection yoyote.
Nikapimwa Ultrasound nikaambiwa kuna fluids, ila kwa vile nilitoka kumaliza period jana yake nikaambiwa nisubiri siku 7 zipite nirudi tena kama itaendelea kuepo au la nikarudi nyumbani na pain killer tu.
Ila maumivu yanazidi kuwa makali na saiv nakua naumwa yanaenda hadi mguu wa kulia upande huo huo tumbo linapouma, Kuhusu vagina discharge siielewi pia kwanza toka period inatoka kama makamasi na saivi bado inatoka kama makamasi na ina rangi ya cream kuelekea njano ila hauna harufu.
Nimeambatanisha na picha.
View attachment 2440445
Shunie, huyo mama wa kihaya nilimtafuta, nikajielezea weee, akanijibu ''tiba utapata kwani si unaumwa hormone imbalance'' nikachoka nikamjibu tu nitakurudia hapohapo nikaamua tu kwenda hospitali.Pole sana mamy mtafute huyu mama wa kihaya 0768890586 mueleze kila kitu unavyojisikia ana dawa za magonjwa ya kina mama nzuri sana
[emoji736]Habari zenu wakuu, napenda kuwashukuru kwa ushauri wenu, nilishapata tiba ya tatizo. Nilirudi tu hospital kwa dr mwingine, ambapo niliambiwa PID nikachomwa sindano moja na kupewa dawa zingine namshukuru Mungu nimepona nipo vizuri saivi.
[emoji736]Habari zenu wakuu, napenda kuwashukuru kwa ushauri wenu, nilishapata tiba ya tatizo. Nilirudi tu hospital kwa dr mwingine, ambapo niliambiwa PID nikachomwa sindano moja na kupewa dawa zingine namshukuru Mungu nimepona nipo vizuri saivi.