Mkuu kama unaweza kupanga kwa kiasi hicho cha fedha, basi unaweza kabisa kukidhi gharama za wakili, hata hivyo nitakusaidia kwa uchache kama ifuatavyo. Kwanza, wakati wa makubaliano yenu uliyaweka kwenye maandishi? Una mkataba? May be tuanzie hapo!
nadhani sijaeleweka kidogo
Nililipa kodi ili aweze kuibadisha nyumba yaani major renovation
kupitia kwa dalali ambaye ndiyo shahidi yangu kuwa nyumba itakuwa na vitu tajwa hapo juu.lkn hakufanya hivyo
na sasa ananiandikia notice while sijakaa kwnye nyumba tarajiwa yaani ynye hadhi ambayo tulikubalina
means I paid two months before