Msaada wa kimatibabu

homeless1

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2020
Posts
427
Reaction score
957
Wakuu samahani kwa usumbufu nitaofanya au ambao utatokea

Kwa muda wa karibia miezi mitano nimekua nasumbuliwa Na maumivu ya nyonga na nilipoenda hospitali nilikosa msaada

Sasa nifanyaje ili kutibu tatizo langu la maumivu ya nyonga
 
Wakuu samahani kwa usumbufu nitaofanya au ambao utatokea

Kwa muda wa karibia miezi mitano nimekua nasumbuliwa Na maumivu ya nyonga na nilipoenda hospitali nilikosa msaada

Sasa nifanyaje ili kutibu tatizo langu la maumivu ya nyonga
YAJUE MAUMIVU YA KIUNO, MGONGO NA NYONGA KWA WANAUME NA WANAWAKE NA TIBA YAKE KIASILI

Tatizo hili huweza kumpata mtu yeyote. Maumivu ya kiuno
huanza chini ya mgongo na kukamata katika vifupa vilivyo kwa chini
karibu na makalio. Maumivu haya husambaa kulia na kushoto na
wakati mwingine huteremka hadi mapajani. Pamoja na kuwepo katika
vifupa hivyo pia ndani zaidi huweza kusababisha maumivu haya
yatoke kwa ndani na kusambaa nje yaani katika eneo la kiuno.

Maumivu ya nyonga huweza kutokea sambamba na maumivu ya
kiuno au nyonga yakawa peke yake. Nyonga huunganisha miguu Na
mifupa ya mapaja inayotengeneza kiuno. Nyonga ndiyo inayofanya
utembee, inakuwezesha kutoka sehemu moja hadi nyingine, kukaa
kuruka…

SABABU ZINAZOPELEKEA MAUMIVU YA KIUNO NA NYONGA
1.kujichua muda mrefu hupelekea maumivu hayo
.zipo dawa za kuacha kujichua na kurudisha nguvu ukiihitaji ,andika #nahitaji mujarabu
2.Namna ya kulala (style) /godoro linaweza kukusababishia maumivu hayo
3.Kubeba mizigo kwa kuinama na mzigo,

4.mawazo (stress) nyingi
5.kulala kwa muda mrefu na matumizi mabaya ya MTO ,

Je ukipuuza maumivu haya haya na kuyachulia ni suala LA kawaida unaweza kuathirika kivipi?
1.Hupelekea kushindwa kufanya tendo LA ndoa
2.hupelekea kupooza kwa baadhi ya viungo vya mwili
3.hupelekea kuwahi kufika kileleni mapema wakati wa tendo na kushindwa kurudia
4.Unaweza kushindwa kutembea kabisa /kunyanyuka, utakaa ukiwa umelala

jitibu maumivu ya mgongo na nyonga kwa dawa ya (kipasi backbonepain) ya kupaka ambayo itakuondolea maumivu hayo kwa siku 7 tu na utarudi katika hali nzur ,ni dawa Kali sana kwa maumivu ya mgongo.
Dawa yake ipo nitafute kwa wakati wako ili nipate kukutibia maradhi yako.
 

Usimtafute Huyu Jamaa utaibiwa
 
Ni kheri kujariku ukashindwa kuliko kutokujaribu kabisa . Au ili upate kitu lazima upoteze chochote kile cha thamani. Wewe mchek jamaa kama alivyokuambia

CHAKUAMBIWA CHANGANYA NA CHAKO
 
je ulipoenda hospital ulipata matibabu gani,na ulifanyiwa vpmo gani na majbu yalikuwaje?
 
Wakuu samahani kwa usumbufu nitaofanya au ambao utatokea

Kwa muda wa karibia miezi mitano nimekua nasumbuliwa Na maumivu ya nyonga na nilipoenda hospitali nilikosa msaada

Sasa nifanyaje ili kutibu tatizo langu la maumivu ya nyonga
Pole saana naomba Kama hutojalii nitafute what's up 0766193034 nitakuelekeza
 

Mkuu wewe umebobea katika nini? Maana kila ugonjwa ukipostiwa wewe unasema unatibu. Hadi ukimwi niliona unazo dawa.. yaani hakuna ugonjwa ambao huuwezi.

Je Wewe ni daktari mbobezi wa mwili mzima wa binadamu ama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…