Msaada wa kielimu Chuo cha IT

KESHa

Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
26
Reaction score
10
Mimi ni kijana wa miaka 23 katika maisha yangu nilitaman kuwa IT sku moja ila kutokana na familia nkaambulia ualimu wa msingi sasa nauliza naweza soma hicho kitu maana nilipata four 26 mwaka 2010 na nina D 7 na C 2 chemistry na English. Math,phis , na mengine yote D nisaidien jaman 3 ( IT kwenye Education)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…