Hiyo hela ya soda itumie kununua bando ufungue sites kama Zoom, Brightermonday huko nafasi zinatangazwa kila siku ni wewe tu.
NB: ukipata nafasi huko, na namna ya kuapply humo humo kwenye site ikawa ngumu inachitakiwa kufanya ni ku-google hiyo organization/company ilitangaza nafasi ili kupata contact zao, kisha apply kupitia hiyo contact kulingaba na maelezo waliyoweka kwenye tangazo la kazi