Mkuu katika usajili hilo uliloweka ni jina la kibiashara na sio jina la kampuni. Majina nayokupa ya kibiashara na unaweza kufanya ya kampuni ni
Kutokana na biashara zako hili lafaa
1. Bin-sowa intertrades(jina la kibiashara)
2. Bin-sowa intertrades ltd (jina la kampuni)
3. Bin-sowa general trades (jina la kibiashara)
4. Bin-sowa general trades ltd (jina la kampuni)
Kwa maelezo zaidi juu ya tofauti kati ya jina la kibiashara na kampuni, usajili wa jina la kibiashara na kampuni waweza mtembelea mshauri wako wa kibiashara alie karibu nawe au karibu i-business consult, email:
iconsultbuzness@gmail.com na hotline:0659211222
Karibu