unatumia window gani ?Nina HDD SATA ambayo nikichomeka kwenye PC Inawaka vizuri kitaa chake na ina detect alafu inakata yaani haionekani tena na nikienda kwenye storage siikuti na haijawahi dondoshwa je hapo tatizo ni lipi na naifanya kama external japo ni internal pia nilijaribu kuiweka kwa kufungua pc kama internal ila napo ilionyesha kama haina window maana nilihis labda ina window ndo maana haisomi kama external je nataka kufahamu hapo tatizo laweza kuwa lipi wakuu?! Ahsanteh
Ahsanteh mkuu japo niko mbali na PC ila tatizo huwa ni nini mpaka inakuwa hivi pia hii ndo itakuwa solution permenently hata nitakapoweka kwenye Pc nyingine au ni njia hii ntakuwa natumia.unatumia window gani ?
window 7 and above,click kwenye start button na
Type the following Disk Management command in the text box:
diskmgmt.msc
utaiopen utaona all disk zilizopo hapo,kama hiyo hdd yako ipo hapo ina maana inafanya kazi,
unachotakiwa ni assign letter
Assign a drive letter to an external device.Nina HDD SATA ambayo nikichomeka kwenye PC Inawaka vizuri kitaa chake na ina detect alafu inakata yaani haionekani tena na nikienda kwenye storage siikuti na haijawahi dondoshwa je hapo tatizo ni lipi na naifanya kama external japo ni internal pia nilijaribu kuiweka kwa kufungua pc kama internal ila napo ilionyesha kama haina window maana nilihis labda ina window ndo maana haisomi kama external je nataka kufahamu hapo tatizo laweza kuwa lipi wakuu?! Ahsanteh
Ni permanent,but kwenye computer nyingine inaweza kuonekana directly bila shida.Ahsanteh mkuu japo niko mbali na PC ila tatizo huwa ni nini mpaka inakuwa hivi pia hii ndo itakuwa solution permenently hata nitakapoweka kwenye Pc nyingine au ni njia hii ntakuwa natumia.
Mkuu nimefanya hiko kitu nikichomeka hdd inawaka kale kataa ila sasa nikienda hapo kwenye disk management siikuti mkuu shida nini?
Mkuu nimefanya hiko kitu nikichomeka hdd inawaka kale kataa ila sasa nikienda hapo kwenye disk management siikuti mkuu shida nini?Assign a drive letter to an external device.
Click on the “Start” button.
Right-click “My Computer”.
Select “Manage”, which will open a dialog box called “Computer Management”.
Click on “Disk Management”. Choose the drive that you want to assign a new drive letter to and right-click.
Choose “Change Drive Letter and Paths”.
Click on the “Change” button.
Use the drop-down menu to find a letter that you want to change your drive letter
to.
Click “Ok”.
https://www.0.freebasics.com/https/m.wikihow.com/Assign-a-Drive-Letter?iorg_service_id_internal=1565619690390248;AfrQiMnz8jWBhZKg
Method 2
https://www.0.freebasics.com/https/m.wikihow.com/Format-a-Hard-Drive?iorg_service_id_internal=1565619690390248;AfrQiMnz8jWBhZKg
method 3
Use minitool partition to format your HDD. Baada ya hapo find any data recovery software to recover your data. Kuna recuva (ni free), za kulipia hetman, wondershare, easeus & minitool.
N:B
Hii kitu ishanitokea kwenye flash drive. Niiliformat kwenye disk management. Na ikawa poa. Ukiichomeka kwenye pc unasikia mlio lkn ukiinda kwenhe my computer haionekani.
Good luck
ebu post screenshot ya disk managementMkuu nimefanya hiko kitu nikichomeka hdd inawaka kale kataa ila sasa nikienda hapo kwenye disk management siikuti mkuu shida nini?