MSAADA WA HARAKA WAKUU

Joined
Aug 15, 2018
Posts
49
Reaction score
28
Wasalam wakuu...
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza UDSM hapo, semister iliyopita nilipata CARRY moja na semister ya pili nina CARRY moja na matokeo yangu yameshikiliwa kwa kuwa nilikua sijasaini ada (Heslb). Mpaka sasa hivi ninamashaka na masomo mawili kusup,je?, nikiwa na CARRY mbili na SUP 2 bado sijadisco hapo?...
Ahsanten.
 
Possibly hujadisco. maana Carry inabidi ufanye ili marks zako ziongezeke lakini kuhusu supp nenda kachomoe
 
Ivi carr si ni mpaka ue umesup mara kazaa ukashindwa?
Nahisi mkuu kuna kozi usipofikisha COURSE WORK 16 una Carry direct hakuna kusupua.Mana, mimi kwenye Aris yangu wameniandikia kabisa CARRY OVER THE YEAR na lingine ticha kabisa aliniambia kwa mdomao wake nitalisoma mwakani mana tulikorofishana kidogo...
 
Ndio upo sahihi mkuu
 
Ila kua makini mkuu na izo sup
 
Wanafunzi wa vyuo siku hizi mnalala sana mnafanya starehe sana hamsomi kazi kuibiana tu na ujanja ujanja mwingi.. kipindi chetu pale COET tulikua tunapiga shule ya uhakika na kutoka na misonge na GPA za maana na mpaka tulimaliza hatukupata SUP wengine... siku hizi mmekua vilaza wa kutupwa, na hata kwenda vyuoni mliingia kwa kibahatisha ndio sababu,,, maana siku hizi mnakiabisha sana chuo chetu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa mkuu tutajirekebisha ili tusikiaibishe chuo.
 
GPA ikiwa above 1.8 unaruhusiwa kufanya Supplementary zako. Then baada ya hapo GPA iwe above 2.0 your safe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…