MSAADA WA HARAKA UNAHITAJIKA

Humorous Junior

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2018
Posts
1,599
Reaction score
1,422
NAOMBA KUELEWESHWA TOFAUTI KATI YA KOZI HIZI MBILI:

ORDINARY DIPLOMA IN CLINICAL MEDICINE NA ORDINARY DIPLOMA IN NURSING AND MIDWIFE

JE, IPI NI NZURI ZAIDI, HATA UTAKAPO TAKA KUCHUKUA BACHELOR YA MEDICINE SIKU ZIJAZO BAADA YA KUMALIZA KUSOMA
 
NAOMBA KUELEWESHWA TOFAUTI KATI YA KOZI HIZI MBILI:

ORDINARY DIPLOMA IN CLINICAL MEDICINE NA ORDINARY DIPLOMA IN NURSING AND MIDWIFE

JE, IPI NI NZURI ZAIDI, HATA UTAKAPO TAKA KUCHUKUA BACHELOR YA MEDICINE SIKU ZIJAZO BAADA YA KUMALIZA KUSOMA
Ordinary Diploma in clinical medicine ni Stashahada ya Utabibu/uganga pia Ordinary Diploma in Nursing and midwifery Ni Stashahada ya Uuguzi na ukunga kiufupi zote ni nzuri, hiyo namba moja utakuja usome Doctor of Medicine (MD) na hiyo namba mbili utakuja usome Bachelor of science in Nursing siku za mbeleni Kama utakuwa umekidhi vigezo vya wakati huo maana kila baada ya muda flani kutoka Dilpoma kwenda Bachelor huwa vigezo vinabadilika badilika hasa upande wa GPA uliyochomoa wakati wa Diploma matokeo ya kidato Cha nne!!


Mpaka hapo tumeshaelewana tofauti za hizo programme!! Haya tuje kwenye uchaguzi maana zote kwangu n bora, msingi tu una interest na Uganga/udaktari au Uuguzi na ukunga!!


Kwa uzoefu wangu mdogo na Kama huna makuu na si mpenda sifa sana kamata NURSING and MIDWIFERY hasa kwa level ya Diploma ni marketable Sana kuliko programme yoyote ile ya afya katika level hiyo ya Diploma achilia mbali Bachelor!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…