Nipo mkoa wa kagera, hakuna ofisi za NACTE karibu, sijui nifanye nini, kwaufupi tumekwama.Nenda ofisi zao zilizo karibu na ww haraka
Kwakweli wanabore.majipu yote haya ........ nacte vs tcu
aendelea ndugu yangu lakini siwapati, na naendelea kupitia profili kila wakati hakuna mabadiliko.May be profile imekuwa hacked, nenda ofisi zao kwa msaada, kama ni wa mkoani endelea tu kuwapigia simu
Ingia profile then angalia juu kuna home profile nk click profile then itajifungua kisha shuka chini utaona secondary education change category n.k click change category hapo utafaata maelekezo kwa kuchagua first periority mbaka mwisho na utakuwa tayari umedilete vyuoNdugu zangu poleni na majumkumu, nipo namfanyia mdogo wangu application ya NACTE (certificate), nimezowea kupitia vyuo kadhaa kabla ya kusave CHOICE, naangalia slot na fee ya chuo nakuwa nanote kwenye karatasi baadae natulia na kufanya CHOICE, muujiza ulionitokea jana usiku, wakati nikiendelea kupitiapitia chuo ghafla mtandao ukakata, nilipojarifu kuanza upya nikakuta tayari dogo kajaziwa 3 CHOICES kati ya vile vyuo nilivyokuwa napitia pitia, kiukweli sikusave CHOICES na vyuo alivyojaziwa si mimi wala yeye hakuna anaevitaka, kibaya zaidi course aliyojaziwa kama first choise haitaki kabisa. Nikapata wazo la kuchange choices hicho kipengele hakipo, kipengele cha kufuta choices nacho hakipo, nimejaribu kupiga cm za NACTE zilizoandikwa chini zote hazipatikani, nisaidieni waungwana maana mimi na mdogo wangu wote tumechanganyikiwa, nitawezaje kufuta hizo choices na kuadd tunazozitaka sisi?
Pole Mkuu hao hata ukienda ofisin huwa wanajibu vivyo hivyo,ila usikate tamaa tupiga simu wasipo pokea piga simu wasipo pokea we piga simu Mimi ilinichukua wiki nzima napiga simu yani nime piga weeeeeeeeee yan wiki ikakatika NDE! sasa ikajakupokelewa akapokea Dada mmoja akawa anaongea kama ana njaa ama usingizi niliumia sana na wewe piga tuuuuuuu
Ndugu zangu poleni na majumkumu, nipo namfanyia mdogo wangu application ya NACTE (certificate), nimezowea kupitia vyuo kadhaa kabla ya kusave CHOICE, naangalia slot na fee ya chuo nakuwa nanote kwenye karatasi baadae natulia na kufanya CHOICE, muujiza ulionitokea jana usiku, wakati nikiendelea kupitiapitia chuo ghafla mtandao ukakata, nilipojarifu kuanza upya nikakuta tayari dogo kajaziwa 3 CHOICES kati ya vile vyuo nilivyokuwa napitia pitia, kiukweli sikusave CHOICES na vyuo alivyojaziwa si mimi wala yeye hakuna anaevitaka, kibaya zaidi course aliyojaziwa kama first choise haitaki kabisa. Nikapata wazo la kuchange choices hicho kipengele hakipo, kipengele cha kufuta choices nacho hakipo, nimejaribu kupiga cm za NACTE zilizoandikwa chini zote hazipatikani, nisaidieni waungwana maana mimi na mdogo wangu wote tumechanganyikiwa, nitawezaje kufuta hizo choices na kuadd tunazozitaka sisi?
Ingia profile then angalia juu kuna home profile nk click profile then itajifungua kisha shuka chini utaona secondary education change category n.k click change category hapo utafaata maelekezo kwa kuchagua first periority mbaka mwisho na utakuwa tayari umedilete vyuo
Asante sana, nimefanikiwaIngia profile then angalia juu kuna home profile nk click profile then itajifungua kisha shuka chini utaona secondary education change category n.k click change category hapo utafaata maelekezo kwa kuchagua first periority mbaka mwisho na utakuwa tayari umedilete vyuo
Asante kwa mchango wakonipe detail zako nikusaidie inaonekana hujui mambo ya kuapply
Teteteteteeee....piga ikibidi ichape na makofi...piga simu wasipo pokea piga simu wasipo pokea we piga simu Mimi ilinichukua wiki nzima napiga simu yani nime piga weeeeeeeeee yan wiki ikakatika NDE! sasa ikajakupokelewa akapokea Dada mmoja akawa anaongea kama ana njaa ama usingizi niliumia sana na wewe piga tuuuuuuu