Msaada wa haraka juu ya apple ipad!

MAKOLE

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
618
Reaction score
280
Rafiki amenitumia Apple Ipad ila haina option ya kuingiza vocha kwenye laini ya simu, namaanisha SIM APPLICATION. Msaada tafadhali.
 
Mpaka ujailbreak bro au toa iyo line weka kwenye simu unaunga bundle zen unairudisha
 
Mpaka ujailbreak bro au toa iyo line weka kwenye simu unaunga bundle zen unairudisha

I appreciate ndugu. ila hapo kwenye nyekundu kamtihani hako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…