Msaada wa haraka home pako kimyaaaaaa

nictbb

Senior Member
Joined
May 18, 2012
Posts
119
Reaction score
9
Wataalam,mwenzenu yamenikuta,nina stereo cassete tape deck amplifier model DC-99Z pioneer,nimekuwa nikiitumia kama amplifier nyumbani kwangu,sasa juzi imepata tatizo la umeme,ghafla nikaona moshi,nikazima,kwa kuwa nina uelewa kidogo na vifaa vya electronic baadae nikaifungua,nikakuta IC yake ya amplifier imeungua kabisaa mpaka namba hazionekani,ila IC yenyewe ina miguu 18 upande mmoja tu,sasa wataalam naomba mnisaidie namba ya ic hiyo au aina nyingine ya ic ambayo itaingiliana na hiyo ,ahsanteni jamani,hali mbaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…