baraka muyabi
Senior Member
- Aug 13, 2012
- 162
- 58
- Thread starter
-
- #21
Mkuu unamaanisha ninunue sehemu kama autorec...befoward nkMkuu, tulizana akili ndiyo uchukue maamuzi. LEGE ametuita mabashite, lakini mimi nimezungumzia experience.
Baada ya gari ya jamaa yangu kuwa na tatizo kama lako, tulimshauri aweke engine ya 3s.
Alipoenda garage, fundi akamshauri anunue engine nyingine ya D4 kwa sababu ni rahisi. Alinunua na gari ikawa fresh. Baada ya miezi kama saba hivi, issue ikaibuka tena.
Mwisho wa siku jamaa yangu aliweka engine ya 3s. Mpaka leo gari ipo fresh.
Gharama alizotumia kutengeneza, ukijumlisha kununua engine ya D4, ambayo ilifaa kwa muda, ilikuwa ni hasara tupu.
Kama ukijikunja ukanunua engine ya D4 au 3s hakikisha unanunua ya kutoka nje ya nchi. Ni sawa sawa hiyo engine yako uivue halafu ifanyiwe marekebisho kidogo na iuzwe kama used.
Yes kaka. kuliko kununua iliyotumika hapa bongo ikafanyiwa overhaul au iliyokuwa imeshindikana.Mkuu unamaanisha ninunue sehemu kama autorec...befoward nk
Kuna jamaa yangu aliweka engine ya 3s mpaka leo mwendo mdundoHabari wana jamvi wenzangu...nilikua naomva msaada wa kiufundi katika engine ya gari aina ya Nadia. Inachanganya sana oil na petrol yaani naweka lita 3 za engine oil ila baada ya wiki moja namwaga lita 6 mpaka 7 (maelekezo ya fundi nimwage kila baada ya wiki)...fundi kasema tatizo ni pump..nimebadili pump nikaweka mpya bado tatizo ni lile lile. Inawaka kwa siku moja siku ya pili haiwaki..inatoa moshi mweusi ajili ya kuchanganya oil na mafuta.sasa fundi kaniambia nibadili kabisa engine niweke 3-S , kiukweli simuamini tena fundi maana nimeumia vya kutosha na tatizo haliishi..msaada tafadhali je ni kweli kubadili engine ndio suluhisho au..Nawasilisha
Mpigie huyu bwana 0754 371 392 yupo Kirumba police kwa juu anaitwa kachemuKirumba mkuu
shukrani mkuu sasa hivi mfuko hausomi ...ngoja nivute pumzi..maana nimetoboka mpaka akili imenikaa sawaMpigie huyu bwana 0754 371 392 yupo Kirumba police kwa juu anaitwa kachemu
hakuna kitu kinachonikera kwa mafundi na madereva wa kibongo kama kutojua majina ya vifaa wanavyo viongelea....
Fundi kakwambia ubadilishe pampu, a wewe ukabadilisha pampu.... Na wataalam wa hapa wanasema tatizo kweli ni pampu
Fuel pump, water pump, oil pump, power steering pump, injector pump, vacuum pump, air ride pump (Range Rover, Cadillacs n.k.).... pampu, pampu ganiiiiii? ?????? ??????
Jesus!
Direc injection pump.. ipo kwenye engine za d4 ndio zinazoonekana kuleta usumbufu kwa gari hizi tatizo ni kwamba mafundi wengi wa mtaani hawazijui. Nilishakuwa na tatizo hilo kwenye gari yangu toyota opa d4 nikaenda pale toyota wakatatua. Ila zilinitoka karibu mil 2 so wanaomshauri anunue 3s ambayo mafundi wote wanazijua kwa 1.6 mil naona hoja yao ina mashiko
Acheni kumwingiza mwenzenu chaka.hapo tatizo ni d4 pump.so kama akiweka nyingine nzuri ugonjwa umekwisha.Direc injection pump.. ipo kwenye engine za d4 ndio zinazoonekana kuleta usumbufu kwa gari hizi tatizo ni kwamba mafundi wengi wa mtaani hawazijui. Nilishakuwa na tatizo hilo kwenye gari yangu toyota opa d4 nikaenda pale toyota wakatatua. Ila zilinitoka karibu mil 2 so wanaomshauri anunue 3s ambayo mafundi wote wanazijua kwa 1.6 mil naona hoja yao ina mashiko
Labda nikuulize gar yako imetembea kilomita ngap mkuu mpaka kufikia kuwa na tatizo hilo??Ndio maana nimeshindwa mkuu mpaka kuomba msaada ...yamenifika shingoni
Huyo fundi ni katili sana, kaa nae mbali.Habari wana jamvi wenzangu...nilikua naomva msaada wa kiufundi katika engine ya gari aina ya Nadia. Inachanganya sana oil na petrol yaani naweka lita 3 za engine oil ila baada ya wiki moja namwaga lita 6 mpaka 7 (maelekezo ya fundi nimwage kila baada ya wiki)...fundi kasema tatizo ni pump..nimebadili pump nikaweka mpya bado tatizo ni lile lile. Inawaka kwa siku moja siku ya pili haiwaki..inatoa moshi mweusi ajili ya kuchanganya oil na mafuta.sasa fundi kaniambia nibadili kabisa engine niweke 3-S , kiukweli simuamini tena fundi maana nimeumia vya kutosha na tatizo haliishi..msaada tafadhali je ni kweli kubadili engine ndio suluhisho au..Nawasilisha
Yaani, wengi wao wanakera mnoAmeshapata engine huyo mafundi wa Bongo ziro kabisa wanatengeneza magari kama wanapiga ramli vile