baba mausingizi
Senior Member
- Jun 15, 2016
- 189
- 120
Hello habari yako? pole kwa hayo maradhi yanayo kusumbuwa nitafute kwa wakati wako ili nipate kukutibia maradhi yako upate kupona.Niingie tu kwenye mada nasumbuliwa na vidude vinaota kwenye ngozi nimeenda hospital wanasema zinaitwa warts sijui kama sijakosea na kilikuwa kimoja kwa sasa vinafika kumi na mbili, dokta alisema vinatakiwa vichomwe.
Je, hakuna njia nyengine mbadala? msaada mwenye kujua.
DuhNilikuwepo navyo hivyo kwenye vidole vya mikono haviumi lakini vinakera sa vingi vingi vikubwa na vidogo vinachipukia.
Pona yangu nilipataga ajali katika kutibiwa majeraha zile sindano na
madawa nikashangaa na vyenyewe vimepotea vyote mwaka wa saba huu.
MawasilianoHello habari yako? pole kwa hayo maradhi yanayo kusumbuwa nitafute kwa wakati wako ili nipate kukutibia maradhi yako upate kupona.
Kivipi mkuuTUMIA Mexican Poppy (Argemone mexicana (Papaveraceae)). Tumia utomvu wake kupaka kwenye hilo eneo lenye tatizo mara 3 kwa siku.View attachment 2366105
Habari!Niingie tu kwenye mada nasumbuliwa na vidude vinaota kwenye ngozi nimeenda hospital wanasema zinaitwa warts sijui kama sijakosea na kilikuwa kimoja kwa sasa vinafika kumi na mbili, dokta alisema vinatakiwa vichomwe.
Je, hakuna njia nyengine mbadala? msaada mwenye kujua.
Asanteee mkuuHabari!
Pole kwa kuumwa.
Dawa zipo kuanzia za kupaka, kupunguza kwa baridi, kupunguza kwa umeme, kukata nk.
Warts ni suala ambapo unapata diagnosis sahihi kupitia kuona kitu husika. Pia, njia gani utumie hutegemea na kiasi/ukubwa vs wingi na eneo.
Hivyo, kama uko sehemu ambayo kuna kituo cha afya ni vyema kupata ushauri kutoka kwa mtoa huduma ya afya kulingana na hali ilivyo hasa ikibidi kama unaweza kumpata daktari bingwa wa ngozi.
Dah hata siujui huu mmea sijawahi kuuona kabisaTUMIA Mexican Poppy (Argemone mexicana (Papaveraceae)). Tumia utomvu wake kupaka kwenye hilo eneo lenye tatizo mara 3 kwa siku.View attachment 2366105
Huku kaskazini ipo mingi sana kipindi cha mvua, sehemu inapoota kwa wingi hakuna kiumbe kitakatiza hapo inamiiba kila mahali.Dah hata siujui huu mmea sijawahi kuuona kabisa
wakazi wa moshi, Arusha wanaifahamu sanaDah hata siujui huu mmea sijawahi kuuona kabisa
Mi niliambiwa huu mmea nkawa natumia utomvu wake ilinisaidia
Samahani naomba kujua unaitumiaje hii tiba. Pia ulipona kabisa baada ya muda gani?Mi niliambiwa huu mmea nkawa natumia utomvu wake ilinisaidia.View attachment 2370590