Hapo nyuma nilikuwa na sumbuliwa na tumbo kujaa gesi sasa lile tatizo lilipata kuisha sasa toka limeisha nimekua nabeua beua bila sababu hadi imegeuka kuwa kelo kwangu.
Mwenye anaweza kujua tiba ya hii kitu anambie maana imekuwa kelo mpaka mbele za watu inanitokea.
Kula Tango na Maganda yake kila siku,
Chukua vitunguu saumu punje nne kata kata unameza au kama waweza tafuna kidogo kisha umeze na maji mara mbili kwa siku,
Hiyo hali ya Kubeua bado gesi ipo tumboni,
Kapime vidonda vya Tumbo.