mkuu weka model number ya simu tuweze kujadiri hili na wana jukwaa.bettery hua sio tatizo kinachoangaliwa hapo ni volt connector ebu tuma model.ata ya laptop nione tunaamsha mkuu .sms 0622100690Wakuu habar , Mimi Nina simu niliagizaga nje , sasa hii simu imekufa battery now , na battery zake ni zile non removable ... Ukiangalia gharama ya kuagiza battery ni expensive kuliko kununua simu mpya . Nimezunguk kariakoo sana nmekosa battery yake . Kuna mtu akanshauri nkachonge battery , asa hapo ndo uwelewa ukaniishia , hiv inawezekan izi non removable battery zikachongwa ? Na battery haitokua na madhara kwa simu ,? Then kama inawezekan ntawapata wapi awa wachongaji ? Asanten sana wakuu