kwenye android nimepata app moja inaitwa MP3 music download ambayo unaweza kudownload music wowote nikawa nataka kutengeneza rightone i.e kukata mziki nichukue kipande ninanchokitaka nikitumie kama ringtone au notification
Nikapata app moja inaitwa MP3 cutter... its cool unaweza kata nk ila shida ile kipande ulichokikata hakitoi sound nimechek kwenye google possible sloution nimejaribu nimeshindwa
Je kuna yoyote anajua app mbadala ambayo kwake inaweza kata music na hakisumbui icho kipande ulichokikata!!