Msaada: Vodafone vdf 300 inazima na kuwaka

Bandido-2

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2013
Posts
266
Reaction score
571
Naam ndg wajumbe,

Jana nipo zangu napunga upepo wa weekend baada ya juhudi za kumtafuta dem wangu kwenye sim kugonga mwamba, mara anawasili akiwa na kasim kake ka vodafone kakikwa kame stuck kwenye startup logo.

Nikamwambia hebu tulia mie mwanateknologia nilimalize hili kwa dk 5 tu.. bhas nikakafomati kutumia ile njia ya kubonyeza vitufe inapokua inawaka (mmeelewa).. kumbe ndo nimeongeza tatizo baada ya hapo sim ikaanza kuwaka inakomea kwenye startup logo na kujizima tena na kuwaka.

Bhas nikaona isiwe taabu nikawasha pc na kuingia google na kuanza kutype β€œhow to..” eeeh bhana eeh nakutana na mlolongo wa maelezo ya kiingereza na misamiati migumu migum mimi mwenyewe mzee, elim kibaba.

Bhas nikakumbuka JF kuna magwiji wa haya mambo... tafadhalin ndg zangu.. dem wangu anajua sishwindwagi kitu mimi... nisaidieni niweze kukarabati haka kasimu kawake tena na kurudisha furaha..




Sent from my iPhone using JamiiForums
 
samahani jaman vodafone 685 haikubali ku install instagram jaman kwann

ni ni rahsi ingia google download instagram apk ya kuendana na android version yako baada ya hapo mambo safi tu πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…